[ad_1]
Aliyekuwa mbunge wa Gem Jakoyo Midiwo amefariki dunia, chama cha ODM kimethibitisha

Source: UGC
Mkurugenzi mkuu wa mawasiliano katika chama hicho Philip Etale alitangaza habari za kifo chake kupitia mtandao wa Twitter Jumatatu, Juni 14.
” Ni siku iliyojaa huzuni haswa kwa chama cha ODM, tumempoteza mmoja wetu na mwanasiasa shupavu Mheshimiwa Jakoyo Midiwo ambaye alikuwa mbunge wa Gem kwa mihula mitatu, ” Etale aliandika Twitter.
Mengi kukujia baadaye…..
Source: Tuko.co.ke
[ad_2]
Source link