Home » Aliyekuwa Mbunge wa Kibwezi Kalembe Ndile Ameaga Dunia Akipokea Katika Hospitali ya Nairobi ▷ Kenya News
News

Aliyekuwa Mbunge wa Kibwezi Kalembe Ndile Ameaga Dunia Akipokea Katika Hospitali ya Nairobi ▷ Kenya News

Aliyekuwa Mbunge wa Kibwezi Kalembe Ndile Ameaga Dunia Akipokea Katika Hospitali ya Nairobi ▷ Kenya News

[ad_1]

Mbunge wa zamani wa Kibwezi Kalembe Ndile amefariki dunia.

Familia yake imethibitisha kwamba mbunge huyo alifariki dunia akipokea matibabu katika hospitali ya Nairobi Jumapili, Mei 30.

Habari Nyingine: Mjukuu wa Moi Ataka DNA ya Watoto 2 wa Mkewe Waliyetengana

Aliyekuwa Mbunge wa Kibwezi Kalembe Ndile Ameaga Dunia Akipokea Katika Hospitali ya Nairobi
Mbunge wa zamani wa Kibwezi Kalembe Ndile amefariki dunia.Picha: Nation
Source: Twitter

Habari Nyingine: “Mungu Anabaki Kuwa Mungu”, Kambua Atoa Wimbo Mpya Baada ya Kumpoteza Mtoto wa Pili

Binamuye Nzioki Kimilu ambaye alikuwa naye hospitalini alipolazwa siku ya Jumatano wiki jana alisema mwendazake alikuwa na matatizo yanayohusiana na saratani ya ini.

Kimilu alisema mwanasiasa huyo alifariki dunia majira ya saa kumi na moja asubuhi.

Viongozi kadaa akiwemo Raila Odinga wameombelza kifo cha mwanasiasa huyo;

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Habari zaidi kukujia…

Source: Tuko Newspaper

[ad_2]

Source link