Home » Aliyekuwa Mtangazaji wa Runinga ya KTN Robert Soi Aaga Dunia ▷ Kenya News
News

Aliyekuwa Mtangazaji wa Runinga ya KTN Robert Soi Aaga Dunia ▷ Kenya News

[ad_1]

Aliyekuwa mwanahabari wa michezo katika runinga ya KTN Robert Soi ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Habari Nyingine: Kitui: Jamaa Achania Mke Nguo Ili Asihudhurie Sherehe ya Harusi

Aliyekuwa Mtangazaji wa Runinga ya KTN Robert Soi Aaga Dunia
Aliyekuwa Mtangazaji wa Runinga ya KTN Robert Soi ameaga Dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.Picha: Robert Soi/Twitter.
Source: Twitter

Habari Nyingine: Shangwe Baada ya Mzee Aliyetoweka Nyumbani Kurejea Miaka 57 Baadaye

Soi alikuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Nairobi kwa zaidi ya wiki moja.

Familia yake imethibitisha kwamba Soi alikata roho Jumatano, Mei 26, 2021 majira ya adhuhuri.

Soi alikuwa amelazwa katika hospitali hiyo Alhamisi, Mei 20 ambapo alifanyiwa upasuaji, alipoteza fahamu tangu siku hiyo hadi kifo chake.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Source: Tuko Breaking News Latest

[ad_2]
Source link