News

Hotuba ya Rais: Uhuru Atangaza Kufunguliwa kwa Shule Kama Ilivyopangwa ▷ Kenya News

[ad_1] Wanafunzi watarejea shuleni kama ilivyokuwa imeratibiwa na Wizara ya Elimu, hayo ni kwa mujibu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Uhuru Kenyatta wakati wa sherehe za Leba Dei Mei 1.

71 words
Hotuba ya Rais: Uhuru Atangaza Kufunguliwa kwa Shule Kama Ilivyopangwa ▷ Kenya News

[ad_1]

Wanafunzi watarejea shuleni kama ilivyokuwa imeratibiwa na Wizara ya Elimu, hayo ni kwa mujibu wa Rais Uhuru Kenyatta.

Hotuba ya Rais: Uhuru Atangaza Kufunguliwa kwa Shule Kama Ilivyopangwa
Rais Uhuru Kenyatta wakati wa sherehe za Leba Dei Mei 1. Picha: State House
Source: Facebook

Akiongea wakati wa sherehe za Leba Dei, Rais alisema shule zitafunguliwa kulingana na kalenda ya elimu.

Hilo lina maana kuwa wanafunzi watarejea shuleni kuanzia Jumatatu Mei 3 kama ilivyokuwa kwenye kalenda.

Source: Tuko Newspaper

[ad_2]

Source link