Home » MCA wa Makueni Afariki Dunia Kutokana na Ajali ya Barabarani ▷ Kenya News
News

MCA wa Makueni Afariki Dunia Kutokana na Ajali ya Barabarani ▷ Kenya News

[ad_1]

Mwakilishi wa wadi ya Nguu Masumba Harissoni Ngui ameaga dunia kufuatia ajali iliyotokea katika barabara ya Mombasa kuelekea Nairobi.

qwwddyefdsyfgydydydugurghfgfhfhjgyjgyjhujuhjuhjyuhjyuhjuy
Ngui ambaye alikuwa naibu kiongozi wa wachache katika bunge la kaunti ya Makueni alifariki dunia Jumanne Juni 15 baada ya gari lake kugongana na lori eneo la Salama kaunti ya Makueni.
Source: Twitter

Ngui ambaye alikuwa naibu kiongozi wa wachache katika bunge la kaunti ya Makueni alifariki dunia Jumanne Juni 15 baada ya gari lake kugongana na lori eneo la Salama kaunti ya Makueni.

Akithibitisha kisa hicho, kamanda wa kata ndogo ya Mukaa Jacinta Mwarania alisema kwamba mwanasiasa huyo alifariki dunia papo hapo mwendo wa saa kumi na mbili jioni.

” Kituo cha polisi cha salama kinaripoti ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne, Juni 15 mwendo wa saa kumi na mbili jioni katika barabara ya Mombasa kuelekea Nairobi,” Ripoti ya polisi ilisoma.

Source: Kenya Breaking News Today

[ad_2]
Source link