Home » One Man Army: Mkazi wa Lucky Summer Asimamisha Msafara wa Rais Uhuru ▷ Kenya News
News

One Man Army: Mkazi wa Lucky Summer Asimamisha Msafara wa Rais Uhuru ▷ Kenya News

One Man Army: Mkazi wa Lucky Summer Asimamisha Msafara wa Rais Uhuru ▷ Kenya News

[ad_1]

Kulitokea pengo la kiusalama mtaani Lucky Summer wakati wa ziara ya Rais Uhuru Kenyatta Jumatano Mei 26.

One Man Army: Mkazi wa Lucky Summer Asimamisha Msafara wa Rais Uhuru
Rais Uhuru Kenyatta alipokuwa akihutubia wakazi Lucky Summer. Picha: State House
Source: Facebook

Rais alikuwa akielekea katika kichinjio cha Neema mtaani humo wakati jamaa mmoja aliingia barabarani na kufungia gari la Rais.

Bila la kufanya, dereva wa Rais alilazimika kusimamisha gari lake huku Uhuru akifunga vioo vya dirisha lake mbio.

Hata hivyo, kwa muda wa sekunde maafisa wa kikosi cha usalama wa Rais walifika na kumnyanyua jamaa huyo unyounyo.

Habari Nyingine: Umoja wa Mt Kenya: Viongozi Waitisha Kikao cha Kupanga Siasa za 2022

Source: Kenya Breaking News Today



[ad_2]

Source link