Home » Spika wa Bunge la Tanzania Awaonya Wabunge Dhidi ya Usherati ▷ Kenya News
News

Spika wa Bunge la Tanzania Awaonya Wabunge Dhidi ya Usherati ▷ Kenya News

Spika wa Bunge la Tanzania Awaonya Wabunge Dhidi ya Usherati ▷ Kenya News

[ad_1]

– Spika wa bunge la Tanzania amewaonya wabunge wa kiume dhidi ya kuwanyemelea wake wa wenyewe

– Ndugai alitoa onyo hii baada ya madai kuibuka kwamba kumekuwa na visa vingi vya wabunge kuwanyemelea wapenzi wa wenyewe hsawa walioko katika ndoa

– Haya yanajiri baada ya mbunge mmoja kutoka Arusha kukatiza sherehe ya harusi mbunge mmoja akilalamamikia kuibiwa mume

Spika wa bunge la kitaifa la Tanzania Job Ndugai amewaonya wabunge dhidi ya kuwanyemelea wapenzi wa wenyewe ambao wako tayari kwenye ndoa.

Habari Nyingine: Familia ya DJ Evolve Yafutilia Mbali Madai Kwamba Ameaga Dunia

Spika wa Bunge la Tanzania Awaonya Wabunge Dhidi ya Usherati
Ndugai alitoa onyo hii baada ya madai kuibuka kwamba kumekuwa na visa vingi vya wabunge kuwanyemelea wapenzi wa wenyewe.
Source: UGC

Habari Nyingine: Muthaiga: Majambazi Wavamia Makazi ya Kifari ya Jirani wa Mstaafu Rais Mwai Kibaki, Waiba KSh 20M

Ndugai aliyasema haya baada ya kuibuka madai kwamba visa vya usherati miongoni mwa wabunge vimekithiri sana.

Kwa mujibu wa taarifa za Daily Nation, Ndugai aliwaonya wabunge dhidi ya kuwanyemelea wapenzi wa wenyewe haswa walioko katika ndoa baada ya mbunge kutoka Arusha kusimamisha harusi.

Mbunge Catherine kutoka eneo la Magige anasemekana kusimamisha harusi ya Kuzula Madoda akidai kwamba alikuwa mpenziwe.

Madoda anasemakana alikuwa ameandaa harusi iyo kisiri.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Source: Kenyan Breaking News

[ad_2]

Source link