Home » Rais Uhuru na DP Ruto Kwenye Meza Moja Kuhudhuria Maombi kwa Taifa ▷ Kenya News
News

Rais Uhuru na DP Ruto Kwenye Meza Moja Kuhudhuria Maombi kwa Taifa ▷ Kenya News

[ad_1]

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wako kwenye meza moja wakihudhuria kikao cha 18 kuombea taifa.

Rais Uhuru na DP Ruto Kwenye Meza Moja Kuhudhuria Maombi kwa Taifa
Rais Uhuru Kenyatta na DP Ruto walipowasili bungeni kwa maombi ya kitaifa. Picha: State House
Source: Facebook

Kikao hicho kinafanyika katika majengo ya bunge ambapo viongozi wamekongamana kuombea taifa.

Rais alifika bungeni na kupokewa na naibu wake kabla ya kuingia kwenye ukumbi ambapo maombi hayo yanafanyika.

Kwenye meza ya Rais, upande wake wa kulia ni DP Ruto huku Spika wa Bunge Justin Muturi naye akiwa upande wa kushoto.

Source: Tuko

[ad_2]
Source link

About the author

Kenyan Bulletin

I am a young Kenyan interested in new media and dissemination of news and information as it unfolds.