Home » Kafyu Yaongezwa Kwa Siku 60, Marufuku ya Kukutana Yawekwa ▷ Kenya News
News

Kafyu Yaongezwa Kwa Siku 60, Marufuku ya Kukutana Yawekwa ▷ Kenya News

[ad_1]

Kafyu ya kutokuwa nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi asubuhi imeongezwa kwa siku sitini zijazo.

Kwenye tangazo rasmi la serikali lililotolewa Mei 28, serikali imesema maradhi ya coronavirus yangali tishio kwa Kenya na hivyo kuchukua hatua hiyo.

Source: Tuko

[ad_2]
Source link